TALA MIKOPO COMPANY LIMITED

TALA MIKOPO COMPANY LIMITED

Menu

UTANGULIZI

Tala ni Taasisi binafsi ya utoaji mikopo kwa njia ya mtandao (online) inayolenga kusaidia wafanyabiashara wadogo na wakubwa pia inatoa mikopo kwa waajiriwa wa serikali na kampuni binafsi nchi nzima. :Kupitia tovoti hii tunatoa mkopo wa kiasi cha Tsh. 100,000 (Laki moja) Hadi Tsh 10,000,000(Millioni kumi) kwa mtu yoyote mwenye kuhitaji mkopo.

KIWANGO CHA MKOPO

Tunatoa mkopo wa Biashara kuanzia kiasi cha Tsh. 100,000(laki moja) hadi Tsh. 10,000,000 (Million kumi) kwa mtu yoyote mwenye kuhitaji mkopo.

KIWANGO CHA AKIBA

Kiwango cha kuweka akiba ni kuanzia Tsh 23,000\= (elfu ishirini na Tatu) mwisho wa kuweka kiasi cha akiba ni Tsh 2000,000\= (milioni mbili)

REJESHO LA KILA MWEZI

➡Kiasi cha kulipa deni la mkopo wa kuanzia Tsh laki moja hadi milioni moja, rejesho lake la kila mwezi ni Tsh elfu hamsini.

➡kiasi cha kulipa deni la mkopo wa kuanzia Tsh milioni moja na laki Tano hadi Tsh milioni kumi rejesho lake la kila mwezi ni Tsh laki moja .

➡hivyo kuna utofauti wa viwango vya rejesho la mwezi kati ya mikopo ya kuanzia laki moja hadi milioni moja pia kuanzia milioni moja na laki Tano hadi milioni kumi

KUJIUNGA ONLINE

▶Kujiunga Online katika mtandao ni njia rahisi ya kupata mkopo, Tumempa uhuru kila Mtanzania kujiunga katika mtandao huu kwa mapendekezo ya hiari mteja anaweza kujiunga akiwa mahali popote pale pia inamrahisishia mteja kupokea mkopo popote pale alipo.

▶Mteja anaweza kujiunga kupitia Intaneti kwenye simu yake au kompyuta yake akiwa popote pale muda wowote ule na akapata mkopo wake Ndani ya dakika 30 bila usumbufu wowote ule.

MIKOPO NA AKIBA ZAKE

                MKOPO WA TSH 100000\=

Mkopo wa Tsh laki moja100,000\= utaweka kiasi cha akiba Tsh 23,000\= na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi miwili (2) kila mwezi utalipa Tshs (50,000\=)


                MKOPO WA TSH 150,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh laki moja na elfu hamsini150,000\= utaweka kiasi cha akiba cha Tsh 35,000\= na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi(3) kila mwezi utalipa Tsh elfu hamsini (50,000\=)


                MKOPO WA TSH 200,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh laki mbili 200,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh 40,000\= na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi minne(4) na kila mwezi utalipa Tsh elfu hamsini(50,000)


            MKOPO WA TSH 250,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh laki mbili na elfu hasini 250,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh 50,000\= na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (5) na kila mwezi utalipa Tsh elfu hamsini(50,000)


           MKOPO WA TSH 300,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh laki Tatu 300,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh 65,000\= na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (6) na kila mwezi utalipa Tsh elfu hamsini(50,000)


             MKOPO WA TSH 350,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh laki Tatu na elfu hamsini 350,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh 75,000\= na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (7) na kila mwezi utalipa Tsh elfu hamsini(50,000)


             MKOPO WA TSH 400,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh laki Nne 400,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh 85,000\= na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (8) na kila mwezi utalipa Tsh elfu hamsini(50,000)


             MKOPO WA TSH 450,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh laki Nne na elfu hamsini 450,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh 95,000\= na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (9) na kila mwezi utalipa Tsh elfu hamsini(50,000)


              MKOPO WA TSH 500,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh laki Tano 500,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh 110,000\= na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (10) na kila mwezi utalipa Tsh elfu hamsini(50,000)


              MKOPO WA TSH 550,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh laki Tano na elfu hamsini 550,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh 125,000\= na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (11) na kila mwezi utalipa Tsh elfu hamsini(50,000)


               MKOPO WA TSH 600,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh laki sita 600,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh 135,000\= na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (12) na kila mwezi utalipa Tsh elfu hamsini(50,000)


             MKOPO WA TSH 650,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh laki Sita na elfu hamsini 650,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh 145,000\= na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (13) na kila mwezi utalipa Tsh elfu hamsini(50,000)


             MKOPO WA TSH 700,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh laki Saba 700,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh 155,000\= na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (14) na kila mwezi Utalipa Tsh elfu hamsini(50,000)


              MKOPO WA TSH 750,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh laki Saba na elfu hamsini 750,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh 165,000\= na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (15) na kila mwezi Utalipa Tsh elfu hamsini(50,000)


             MKOPO WA TSH 800,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh laki Nane 800,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh 175,000\= na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (16) na kila mwezi utalipa Tsh elfu hamsini(50,000)


            MKOPO WA TSH 850,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh laki Nane na elfu hamsini 850,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh 185,000\= na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (17) na kila mwezi utalipa Tsh elfu hamsini(50,000)


           MKOPO WA TSH 900,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh laki Tisa 900,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh 195,000\= na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (18) na kila mwezi utalipa Tsh elfu hamsini(50,000)


         MKOPO WA TSH 950,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh laki Tisa na elfu hamsini 950,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh 215,000\= na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (19) na kila mwezi utalipa Tsh elfu hamsini(50,000)


          MKOPO WA TSH 1000,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh milioni moja 1000,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh 230,000\= na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (20) na kila mwezi utalipa Tsh elfu hamsini(50,000)


         MKOPO WA TSH 2000,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh milioni mbili 2000,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh Tsh laki Nne (400,000\=) na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (20) na kila mwezi utalipa Tsh laki moja (100,000)


           MKOPO WA TSH 3000,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh milioni Tatu 3000,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh Laki sita (600,000\=) na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (30) na kila mwezi utalipa Tsh laki moja (100,000)


         MKOPO WA TSH 4000,000\=


Mkopo wa kiasi cha Tsh milioni nne 4,000,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh laki nane (800,000\=) na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (40) na kila mwezi utalipa Tsh laki moja (100,000)


           MKOPO WA TSH 5000,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh milioni Tano 5000,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh milioni moja (1000,000\=) na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (50) na kila mwezi utalipa Tsh laki moja (100,000)


            MKOPO WA TSH 6000,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh milioni sita 6000,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh milioni moja na laki mbili (1,200,000\=) na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (60) na kila mwezi utalipa Tsh laki moja (100,000)


           MKOPO WA TSH 7000,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh milioni saba 7000,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh milioni moja na laki nne (1,400,000\=) na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (70) na kila mwezi utalipa Tsh laki moja (100,000)


           MKOPO WA TSH 8000,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh milioni nane 8000,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh milioni moja na laki sita (1,600,000\=) na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (80) na kila mwezi utalipa Tsh laki moja (100,000)


           MKOPO WA TSH 9000,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh milioni Tisa 9000,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh milioni moja na laki nane (1,800,000\=) na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (90) na kila mwezi utalipa Tsh laki moja (100,000)


            MKOPO WA TSH 10,000,000\=

Mkopo wa kiasi cha Tsh milioni Kumi 10,000,000\=utaweka kiasi cha akiba cha Tsh milioni mbili (2000,000\=) na malipo ya deni ni kwa muda wa miezi (100) na kila mwezi utalipa Tsh laki moja (100,000\=)

VIGEZO NA MASHARTI

➡Mteja lazima akamilishe taarifa zake na kuweza kukizi vigezo ili aweze kupatiwa mkopo ndani ya dakika 30 tu. 

➡mkopo hauwezi kutolewa endapo taarifa za mteja sio sahihi. 

➡Kiasi cha akiba husimama kama riba ya kiasi cha mkopo atakaochukua mteja,ambapo riba hii hulipwa kabla ya kupatiwa mkopo. 

➡kiasi cha akiba kinategemeana na kiasi cha mkopo anaochukua mteja.. 

➡Kumbuka hatujawai kumkata mteja yeyote kiasi cha akiba katika mkopo wake anao hitaji na wala sio utaratibu wetu. 

➡Ni lazima kwa kila atakae jiunga kwa mahitaji ya mkopo aweke akiba ndipo apatiwe mkopo ndani ya dakika 30.

UHAKIKA WA HUDUMA ZETU

Huduma hii ya mkopo ni salama na haraka zaidi na hatuhusiki na ubadhilifu wa aina yeyote ile kwa wateja wetu, mkopo huu hutolewa ndani ya dakika 30 tu punde mala baada ya mteja kuweza kukamilisha utaratibu mzima wa vigezo na masharti . hivyo tunajivunia kuweza kutoa huduma nzuri na kwa wakati kwa wateja wetu.ni utaratibu wa kila mteja kupatiwa mkopo pindi anapokuwa amekidhi vigezo. Hatuhusiki na huduma yeyote kwa mteja asiefuata utaratibu mzima wa huduma zetu!!!

KWANINI AKIBA?

Ukiwa kama mteja wa Tala unaweza kujiuliza kwanini unatoa kiasi cha akiba kabla ya kupatiwa mkopo?..... Kiasi cha akiba ni moja ya kigezo ambacho kitamuwezesha mteja kuweza kupatiwa mkopo. Kiasi hiki cha akiba hutolewa na mteja kabla ya kupatiwa mkopo .kiasi hiki ndicho riba ya mkopo atakaochukua mteja

KUNA RIBA YA MKOPO?

Kuhusu swala la mkopo , ni lazima pia swala la akiba liweze kuambatana. Hivyo ni utaratibu katika Taasisi zote zinazoendesha huduma ya mkopo kuweza kuwa na kitu kinachofahamika kama "riba" . katika utaratibu wetu tumeweza kumpa mteja unafuu wa kulipa deni lake bila bugudha yeyote kutokana na unafuu wa rejesho lake atakalokuwa akilipa kila muda wa kulipa rejesho lake  unapowadia. Kiasi cha akiba kinachotolewa na mteja kabla ya kupatiwa mkopo huhesabika kama riba ya mkopo wake , hivyo katika kulipa deni la mkopo , mteja hatohusika na kulipa kiasi cha akiba wala riba bali atahusika kulipa kiasi kile alichokopa tu . kumbuka kuwa kiasi cha akiba kinachotolewa kabla ya kupatiwa mkopo hakiwezi kurudishwa pindi unapomaliza kulipa deni lako bali hiyo ndio inakuwa riba ya mkopo wako uliokopa.

MKOPO ONLINE

Ukiwa kama mteja wa Tala unaweza kujiuliza kwanini hatuna utaratibu wa kutoa huduma ya mkopo mkononi?(CASH) au katika Ofisi yetu..?. Ofisi yetu ni moja tu Tanzania na inapatikana "DODOMA CHAMWINO" hatuna Tawi mkoa wowote Tanzania, Hivyo kwa mujibu na Utaratibu wa huduma zetu Huduma hii ya mkopo hutolewa kwa njia ya kimtandao (ONLINE) pekee, Hivyo hatuna utaratibu wa mteja kupatiwa mkopo mkononi au kupitia ofisi zetu. Hi ina maana kwamba Tunalenga kuhudumia watanzania wote bila kujali mahala popote alipo, sambamba na hayo ni lazima kila mteja anaehitaji huduma hii ya mkopo aweze kujisajili online ili kuweza kupatiwa mkopo wake kwa njia ya mtandao pindi atakapoweza kukidhi vigezo husika katika kiasi cha mkopo anachohitaji.

ZINGATIA HAPA

Hauruhusiwi kujaza fomu ya kuomba mkopo ikiwa haujakubaliana na utaratibu wa huduma zetu , unapaswa kusitisha mala moja ili kuepusha usumbufu kwa wateja wengine ili kuweza kuipata huduma hii kwa wakati.

Talamikoponetwork